Thursday, 26 February 2015

NJOONI TUZUNGUMZE--- HIVI KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA?


binadamu kama binadamu tunakosea sana, kuna mambo mengi sana ambayo mwenzio akikufanyia especially kwenye suala la mapenzi, unaweza ukalia sanaa, ukashindwa hata kusamehe, sasa hebu njooni tuzungumze,,, hii ya kutokusamehe, iko sawa kweli?????? na kama yapo makosa yasiyo sameheka, hebu yataje hapa, tuyajue,,,, maana mimi violet Gerald, naamini kwamba makosa yoote yanaweza kusameheka, ila inategemea na jinsi wewe mwenyewe ulivyolichukuliwa,, umelipaje uzito hilo kosa ulilokosewa??????? karibuni tufundishane

NJOONI TUZUNGUMZE--- HIVI KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA? Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin