Friday, 27 February 2015

NDEGE YA JESHI YAANGUKA NA KUWAKA MOTO UWANJA WA NDEGE MWANZATaarifa kutoka Mwanza Airport ni kuwa kuna ndege ya Jeshi imelipuka na kuteketea.

Rubani wa ndege hii, ndg Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali.

Ni jet fighter, ilikua kwenye routine exercise za kila wiki. Zilikuwa zinaruka mbili kwa formation.


 

Wakati zina take-off moja ikaanza kuwaka moto nyuma. Rubani alitoka kwa ejector seat, amepona. Ndege imeharibika vibaya.

NDEGE YA JESHI YAANGUKA NA KUWAKA MOTO UWANJA WA NDEGE MWANZA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin