Tuesday, 10 February 2015

MDANANDA AJUTA,MASHABIKI WAMPONDA KWA KUONYESHA MAKALIO YAKE NA KUCHUCHUMA KAMA ANAKUNY*A

Kupitia Instargram baadhi ya mashabiki wametokea kumponda jamaa huyu maarufu kwa jina la MDANANDA kwa style yake aliyoibuka nayo jana pale New Maisha club kwenye show ya Usiku wa Marafiki wa Diva.... Baadhi ya mshabiki walimdisi kuwa msanii huyu aliibuka na pozi la chooni wakidai Mdananda kaja KUNYA CLUB

MDANANDA AJUTA,MASHABIKI WAMPONDA KWA KUONYESHA MAKALIO YAKE NA KUCHUCHUMA KAMA ANAKUNY*A Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin