Thursday, 12 February 2015

MATITI MAKUBWA YAWA FASHENI MJINI,CHEKI MADADA WAKIJIACHIA NA MATITI MAKUBWA

Wakina mama na wakina Dada wameanzisha mipango mipya ya kuvimbisha
maziwa , wengine wakiyapiga sindano yawe magumu, imefikia hata wenye
haki yaani watoto wao unyimwa na kupewa chupa huku wakiwalaghai wame
eti maziwa hayatoki.Tabia hii imeshika kasi mpaka wanawapa tabu

mafundi nguo , wakishona bila kuweka mbeleko ya kuyabeba.Wasichana
wamefikia.hatua ya kujikaba kifua huku wakieemea juu juu kisa yatune.
wenginemasikini yashakuwa sokis lakini ngozi hiyo itakabwa wee mpaka
itune.Je kuyakaba na kuyatunisha ni ulembo au mitego

MATITI MAKUBWA YAWA FASHENI MJINI,CHEKI MADADA WAKIJIACHIA NA MATITI MAKUBWA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin