Friday, 27 February 2015

Kwanini Baadhi ya Kina Dada Hupenda Wanaume Wahuni na Makatili (Bad Boys) na Kudharau Wapole ?Utakuta kila mara anapigwa anatukanwa na kugundua ana Wasichana wengine lakini yumo tu kazi ni kulalamika kwa mashoga zake, huko watamshauri aachane na huyo jamaa katili na muhuni lakini utakuta anawadharau anaenda tena.

Naamini hili halipo kwa Wakurya tu ni wanawake in general hawapendi watu soft. Kweli hawa viumbe ni wa ajabu sana wakati mwingine si mke wa mtu ni mpenzi tu chuoni ama uraiani hata kwenye mashule wanapigwa tu na kuendelea kuwa na Body Boys

Wakati mwingine ni kama wanachokoza ili wapigwe maana wakionywa jambo flani wanarudia kisha wanapigwa halafu wanaunda jopo la kuomba msamaha.

Je ni Tatizo la Kisaikologia ama ndo Nyota za Punda ?  


-udakuspecially

Kwanini Baadhi ya Kina Dada Hupenda Wanaume Wahuni na Makatili (Bad Boys) na Kudharau Wapole ? Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin