Wednesday, 18 February 2015

KIJANA MOJA ANUSURIKA KIFO NA MWINGINE AUWAWA KIKATILI KWA KUCHOMWA MOTO WAKIJARIBU KUIBA PIKIPIKI

 Haya twendeni vizuri sasa angali huko kwako ana nguvu huyu mtu hunaona  halivyokaaa
 Baada ya kufikishwa hospital ya wilaya ya kahama kwa matibabu ana baada ya wasamaria wema wakimsaidia nesi kumpeleka kwa dakitali kwa huduma .
 Nes nisaindieni jaamani nipo
pekee yangu ndiyo maneno ya nes naosema na  kumuweka katika kiti cha wangonjwa .
 Njamaaa muinueni huko tumuweke kwenye kiti kwa ajili ya huduma hospitali ya wilaya ya kahama
 jaamani hajakaa vizuri mshikilieni vizuri kwanza

KIJANA MOJA ANUSURIKA KIFO NA MWINGINE AUWAWA KIKATILI KWA KUCHOMWA MOTO WAKIJARIBU KUIBA PIKIPIKI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin