Thursday, 26 February 2015

HUYU NDIYE BONGE LA MWANAMKE ANAYEMTAKA DIAMONDI KIMAPENZI

Demu wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake na kumtumia Video na Picha za mitego Diamond kwa Kupitia Udaku Special Blog Ametuhabarisha kuwa baada ya Video na picha zake kusambaa alitafutwa na  Diamond Platnumz na kuanza kuchat nae na kutumiana picha mbali mbali  na alifikia mahala akasema anamtumia Ticket za kuja Dar wafanye yao pamoja na Collabo ya Mziki ..Lakini mpaka leo Tickets hazijatumwa....Sasa baada ya tickets kutokutumwa na Diamond kukaa kimya ilibidi aanza kufanya uchunguzi kuhusu huyo Diamond na Mwisho kugundua anachat na Diamond Fake...anatumia jina la Diamond..kwenye facebook anajiita : Diamond Wasafi Platnumzz

HUYU NDIYE BONGE LA MWANAMKE ANAYEMTAKA DIAMONDI KIMAPENZI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin