Tuesday, 24 February 2015

HIVI NDIVYO WASOMALI 13 WALIVYO KAMATWA MOROGORO


Muonekano wa Wasomali baada ya kukamatwa jana Wilaya ya Mvomero, Morogoro.
Polisi akifanya mahojiano na Wasomali hao.
Wakiendelea kutafakali jambo baada ya kukamatwa.
Dereva wa lori lililokuwa limebeba Wasomali, Koka Ndogo alipohojiwa na polisi alisema, "Nilikuwa natoka Moshi ambako nilimuacha bosi wangu ili mimi nikirudi Dar. Njiani nilikutana na wasomari wema hawa ambao kwa umoja wao walinipa shilingi milioni moja kama nauli ya kuwapeleka mpakani mwa Mbeya. Nilishawishika kuchuku pesa hizo na kuamu kuchepuka bila bosi kuja na kwenda Mbeya.
"Nilipita njia ya vichochoroni ya Mvomero ili nitokee Mikumi na kuendele na safari ya Mbeya nilipofika Mvomero nilikamatwa na 'trafiki' ambaye alituleta hapa kituoni."

HIVI NDIVYO WASOMALI 13 WALIVYO KAMATWA MOROGORO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin