Friday, 13 February 2015

CHRISTIAN BELA AFUNGUKA KILICHOMFANYA KUTUNGA WIMBO WA ''NANI KAMA MAMA''

Msanii Christian Bella amesema alitunga wimbo wake wa 'Nani kama mama' baada ya kumshuhudia live mke wake akijifungua na kupata mateso makali, hivyo aka-salute kuwa mwanamke
anatakiwa kuheshimiwa tofauti na anavyochukuliwa.
Kama nawe unaamini mama yako anastahili heshima kubwa,

CHRISTIAN BELA AFUNGUKA KILICHOMFANYA KUTUNGA WIMBO WA ''NANI KAMA MAMA'' Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin