Friday, 27 February 2015

BIFU KATI YA CHEGE NA MAIMATHA LAFIKIA PABAYA...WATUPIANA MATUSI WAZI WAZI


Baada ya Chege kumbwatukia Maimartha aliposema amevaa hirizi kule dodoma kwenye shoo maimartha aamua kumtolea uvivu vhege na kufunguka instagram kama ifuatavyo

"Chegechigunda this is too much embu koma kunitukana mpuuzi ni we we usiyejua kusoma SMS vizuri..niliandika kwa wema Tu naona mwenzangu umatake advantage huna angle ya promo eh..nyie wanamziki uchwara embu mjiheshimu msipende kugombana Na watu Chegechigunda mpuuzi ni we we... Na kama we we mwanaume Mimi mwanamke!"kaogee..chezea vyeusi hiki chekundu ntakutia DOA...take ur time usione nilinyamazaa weee ....ehee"

BIFU KATI YA CHEGE NA MAIMATHA LAFIKIA PABAYA...WATUPIANA MATUSI WAZI WAZI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin