JE ULISHAWAI KUMUONA WEMA SEPETU NDANI YA VAZI HILI,CHEKI PICHA HAPA

0 comments

Nadhani ni siku nyingi hukuwahi kuzitia machoni picha za staa Wema Sepetu sasa hizi hapa Nimekukusanyia kadhaa siku ya leo  

Read More »

WEMA AZUA KIZAAZAA CHINA NI KATIKA KUONYESHA UPENDO NA HURUMA KWA JACK CLIFF.

0 comments
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.
Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake, Petit Man.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda.
Chanzo kilicho karibu na Wema kimeeleza kuwa, Wema alipofika na kuona mazingira ya upweke ambayo Jack anaishi, aliwaza kwa muda na kuzungumza maneno kama mtu aliyechanganyikiwa hivyo kuwatia hofu Martin na Petit.
Mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ wakati akiwa huru Bongo.
“Ilikuwa mshikemshike, alimmis sana Jack sasa alipomuona na mazingira yale ya upweke ndicho kilichomchanganya Wema lakini baadaye kina Martin walimrudisha kimawazo na hatimaye akawa sawa,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
Kete za madawa ya kulevya zilizowahi kunaswa.
“Hata hivyo, Wema amesema mazingira ya kule ndani siyo mabaya lakini kilichomuumiza yeye ni upweke ambao anao na watu wanaomzunguka.”
Jack alikamatwa Desemba 19, mwaka jana akiwa amebeba madawa ya kulevya aina ya Heroin yenye uzito wa kilo 1.1 katika Uwanja wa Ndege wa Macau akitokea jijini Bangkok nchini Thailand kuelekea Guangzhou, Mji Mkuu wa Jimbo la Guangdong Kusini mwa China.
Agosti, mwaka huu Jack Patrick ilielezwa kuwa alihukumiwa kifungo cha miaka sita jela huku kukiwa na uwezekano wa kupunguziwa adhabu endapo ataonesha utiifu gerezani.
-GPL

Read More »

PICHA ZA OBAMA NA MICHELLE: DAAH WAMETOKA MBALI SANA…WEWE NA HUYO WAKO MNAJIVUNIA HILI?!!!

0 comments

Daah picha hizi zimenipa moyo… nikomae tu…..ipo siku nitatoboa cheki jamaa enzi hizo na sasa hivi!!!..Chausiku mama tutatoka tu!!!
PICHA 1>>>>>>HAPA
PICHA 2>>>>>>HAPA
PICHA 3>>>>>>HAPA

Read More »

SIRI PENZI LA ANTI LULU, BONDI YAFICHUKA

0 comments

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
SIRI imefichuka juu ya wasanii wawili waliokuwa wapenzi wa muda mrefu na kumwagana, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Bondi Sinan kwamba walipeana kiapo kizito, Ijumaa limetonywa.
Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’.
Chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, katika mapenzi yao waliapizana kwamba hakuna ruhusa kwa mmoja wao kuzaa na mtu mwingine na ndiyo maana wote walipokiuka, yaliwafika mazito.
“Kiapo ni kitu kibaya sana, hivi karibuni Bondi alifiwa na mwanaye na Anti Lulu aliwahi kuwa na mimba ya mwanaume mwingine ikatoka, ukiunganisha matukio unaona kiapo chao kinafanya kazi,” kilidai chanzo hicho.
Bondi Sinan akiwa na Wastara.
Baada ya kuzinyaka habari hizi paparazi wetu alimtafuta Anti Lulu ambaye alifunguka: “Ni kweli tuliapizana lakini mwenzangu alikiuka na kwenda kuzaa na mwanamke, mtoto amefariki na mimi nilibeba ujauzito mimba ikatoka.
“Mimi na Bondi tumetoka mbali sana na naamini hawezi kumuoa mwanamke mwingine zaidi yangu nikishamaliza mambo yangu na kuamua kutulia nitarudi tu kwake na huyo Wastara atamuacha,” alisema Anti Lulu.


Read More »

RIHANA KAMA WEMA SEPETU, WATU WAMSHANGAA ALIPOENDA KATIKA GAME YA CLIPPERS. CHEKI PICHA HAPA

0 comments

 rihanna-clippers-1
Rihanna ameonekana kufuatilia game nyingi za kikapu baada ya
kumshangilia  LeBron James kwenye game ya Nets vs Miami Heat iliyochezwa
Miami, Riri alisafiri tena kwenda kutazama Game 3 ya Western Conference
semifinals kati ya Los Angeles Clippers na Oklahoma City Thunder mjini
L.A. ijumaa. rihanna-clippers-2rihanna-clippers-3 rihanna-clippers-4

Read More »

KWA MUONEKANO YUPI HAPA NI MBUNGE MREMBO KULIKO WOTE KATI YA HAWA???

0 commentsUrembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati
kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka
2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo
mwenye mvuto 2014?

Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au
majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki.
Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910. Kazi
ni kwako


Read More »

DIAMOND AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA (SIJATOA WIMBO) KWANINI KASEMA HIVYO JITIRIRISHE

0 commentsMoja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni
na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina
quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye
media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified….

Read More »

Exclusive : Wastara afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu picha zake zilizosambaa akiwa na Bond wa Bongomovies.

0 comments


wastara bongoclan
Zimepita siku kadhaa tangu picha za Wastara na Bond kusambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari zikionesha wawili hao wakiwa kimahaba zaidi na sasa Wastara Juma ameamua kufunguka rasmi

Wastara alisema “zile picha zote mnazoziona ni picha zimo ndani ya filamu ya Uaminifu Dhaifu ambayo imetoka leo,filamu hiyo nimecheza tofauti na filamu zote nilizocheza kipindi cha nyuma hivyo nimesikitika sana watanzania kuzichukulia tofauti na kuziandikia habari bila kuongea na mimi,naomba mnunue filamu yangu mtaona kilichomo ndani ni filamu nzuri sana niamini mimi”

Kwenye filamu hiyo Wastara amecheza na wasanii wengine kama vile Nsungu,bambo,bond na matumini,inasambazwa na stepsentertainnment
watara na bond - bongoclan.co.tz


Read More »

MTU HUMJUI UNAJIDAI MMEPENDANA FACEBOOK , CHECK MREMBO ABAKWA NA KUNDI LA WAHUNI...INASIKTISHA SANA....!SOMA ZAIDI HAPA...!

0 comments


Dada mmoja alikutana na kijana mmoja kwa njia ya facebook na wakapendana hapa mtandaoni.
Baada ya kuchati kwa muda mrefu wakaamua waende kuonana na hatimaye wakaona na binti kukaribishwa katika chumba alichopanga kijana huyo.

Alipofika akaanza kuhisi kuwa amefanya maamuzi yasiyo sahihi kwenda pale kwani chumba kilinuka harufu ya pombe na bangi na pia kulikuwa na vijana wengine wapatao wanne wakiwa wamelewa pale.

Wakamwingilia kinguvu dada yule na kisha baada ya kugundua kapoteza fahamu wakamtupa nje karibu na barabara na dada alipopata fahamu kwa aibu akaondoka na hakumwambia mtu na kukaa kimya.

Miezi michache baadae akagundua kuwa ni mjamzito na kwa sheria za ile nchi akatakiwa kufukuzwa katika ile jamii kwani amefanya kosa la kuiabisha jamii kupata ujauzito bila muda wake muafaka kufikia.

Siku chache baadae ikaja onekana maiti yake ikiwa pembeni ya mji ule katika shamba moja akiwa na karatasi mkononi iliyoandikwa:

" Kwa wadogo zangu miliobaki, mitandao ya kijamii ina faida kubwa na hasa zake pia... kamwe msiwe wepesi wa kufanya maamuzi na kuja kuwa wahanga wa matatizo niliyokumbana nayo mimi dada yenu.... Nawapenda sana"


Sala kwa ajili yako

Mitandao ya kijamii itakupa marafiki watao kupanua mawazo ya kuziboresha kazi zako na sio watakao kuharibia kazi zako na maisha yako pia.

Read More »

HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 MUHIMU ZINAZO MPA RAHA MWANAMKE

0 commentsTendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.
.
Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.

1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).

2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye matako) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa. Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke.

Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka. Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi. Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume.

Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke, sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe, hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.

3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba na kuyanyonya.

4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.

5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.

6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.

7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake, fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.

8. MATAKO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.

9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.

10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake, mashavu na kwenye paji la uso.

11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.

12. G-SPOT :lol:
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa, sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapizi mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke, sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri
inavyobonyezwa.

Mwanamke anawezakujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.

NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 ni muhimu. Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia

Read More »

KIMENUKA SARE ZA JESHI (JWTZ)...MENEJA WA DIAMOND AKAMATWA NA POLIS, NAY WA MITEGO PAMOJA NA MBAVU ZAKE NENE ATOKA NDUKI

0 comments


Diamondd_full
Kufuatia tukio la Diamond Platinumz kuonekana akiperform na sare zinazoaminika kuwa za jeshi la Wananchi (JWTZ), imeelezwa kuwa jeshi la Polisi limemshikilia meneja wa Diamond, Babu Tale na inaelezwa kuwa alilala selo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwa katika eneo la kituo cha polisi cha Osterbay, Dar es Salaam jana (October 21), Babu Tale alifikishwa katika kituo hicho ambapo maafisa kadhaa wa jeshi na polisi walionekana katika eneo hilo.
Chanzo hicho kimeeleza kuwa Uongozi wa Diamond ulipewa muda wa kujieleza kabla ya saa mbili asubuhi, October 21 lakini haukufanya hivyo na ndipo hatua hiyo ikachukuliwa.

Haijafahamika bado kwa nini jeshi la Polisi lilimshikilia Babu Tale peke yake bila Diamond lakini vyanzo vimeeleza kuwa mwanamuziki huyo yuko safarini.
Hadi habari hii inaenda hewani, namba ya simu ya Babu Tale ilikuwa haipatikani.
Tovuti ya Times Fm imeongea na kamanda wa polisi wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni, Dar es Salaam, Camillus Wambura ambaye amesema bado hajawasiliana na kituo cha Osterbay kuhusu suala hilo na hajapata taarifa kwa kuwa kesi hiyo inachunguzwa na iko chini ya mkuu wa upelelezi wa Mkoa.

“Mimi ninachojua kuwa suala hilo liko chini ya uchunguzi. Habari ya kushikiliwa watu na nini bado sijafahamu. Najua tu suala hilo liko chini ya uchunguzi na linafanyiwa uchunguzi. Hiyo ni kesi ambayo iko chini ya mkuu wa upelelezi wa Wilaya, chini ya mkuu wa upelelezi wa Mkoa. Kwa hiyo sijapokea taarifa ya uchunguzi huo ulipofika.” Ameiambia tovuti ya Times Fm.
Akijibu kuhusu taarifa za uongozi wa Diamond na Diamond kupewa muda wa kujieleza, Kamanda Wambura alijibu:
“Uchunguzi unafanywa huko. Kwa sasa hivi sina taarifa hiyo nina mambo mengi sana. Kwa hiyo kwa sasa hivi uchunguzi unafanywa chini ya Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa. Kwa hiyo sijapata nafasi ya kujua wamefikia wapi katika uchunguzi wa suala hilo,”ameongeza kamanda Wambura.

Mapema wiki hii, jeshi la wananchi Tanzania lilitoa taarifa kwa vyombo vya habari likipiga marufuku raia kuvaa sare za jeshi.
Credit : Times Fm

Read More »

MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEVU PAMOJA NA LUNDENGA UNAAMBIWA WOTE WABWABWAJA

0 comments

Stori:  Musa Mateja
MISS Tanzania 2014, Sitti Mtemvu juzi alilipua bobu la 2, baada ya kulazimisha safari ya kwenda kushiriki Miss World 2014 huku vigezo na masharti hasa yanayohusiana na cheti chake cha kuzaliwa yakipingana naye.
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya Ukumbi wa Ngorongoro katika Hoteli ya JB Belmont, Posta Mpya jijini Dar es Salaam, Sitti alisema ana miaka 23 kwa kuwa alizaliwa mwaka 1991.
Pamoja na Lundenga kuweka wazi mchakato waliyotumia hadi kumfanya Sitti kuibuka na taji la Miss Tanzania 2014, bado kuna dosari za wazi ambazo zilijionesha kuwa mrembo huyo analazimisha safari hiyo kwani cheti chake cha kuzaliwa kinaonesha ana miaka 23 lakini namna cheti hicho kilivyotolewa ndiyo utata na ulazima ulipotokea.
Cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.
Baadhi ya waandishi walimuhoji Sitti juu ya cheti hicho ambacho kinaonesha kimetolewa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Uzamini (RITA), Septemba  9, mwaka huu, siku 32 tu kabla ya kutwaa taji hilo.
Swali ambalo lilitawala kwenye kikao hicho lilikuwa ni kwa nini cheti hicho kitoke ndani ya muda mfupi wakati anaonekana alikuwa akiishi nje ya nchi kwa muda mrefu, na kwamba huwezi kuishi nje ya nchi bila paspoti ambayo pia upatikanaji wake unatakiwa kuwa na cheti cha kuzaliwa alisema kilipotea!
Akaulizwa alitoa ripoti kituo gani cha polisi ili waandishi waende kuulizia, akagoma!
Mbunge wa Temeke, Mh. Abasi mtemvu.
“Mimi nadhani alichoongea Hashim Lundenga kinajitosheleza na zaidi naona mnanisakamasakama bila sababu ya msingi, nimechoka kuandamwa na vyombo vya habari pamoja na mitandao.
“Kama kuna mtu anaona cheti hakiko sahihi basi aende ofisi husika ili ajiridhishe juu ya hilo hata suala la kuniambia nina mtoto nafikiri mnaweza kwenda hospitali yoyote kuulizia hilo,” alisema Sitti.
..amekaa pembeni ili aweze kumfafanulia japo kwa ufupi juu ya mkanganyiko huo kama tangu alipomzaa Sitti hakuwahi kumchukulia cheti cha kuzaliwa hadi alipoamua kushiriki mashindano hayo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
“Mambo ya Sitti naomba muulize yeye maana ndiye mshiriki wa Miss Tanzania, mimi sijawahi kushiriki hata siku moja na hapa nimekuja kumleta yeye tu, hivyo siwezi kuzungumza lolote juu ya hilo, kikao hiki kimeandaliwa na Miss Tanzania na si ukoo wa Mtemvu,” alisema mama huyo.
Hili ni bomu la pili, la kwanza ni lile lwa kudai ana miaka 18 siku alipojitambulisha kwenye shindano hilo, Mlimani City, Dar na kuzua utata mkubwa kwenye jamii.

Read More »

TRENDING PHOTOS ON INSTAGRAM: WOLPER, WEMA SEPETU, ESMA DIAMOND, MBONI,K-LYINN,MASOGANGE, CORAZON, HAMISA, RIHANA

0 comments
Read More »

Msanii Mike Tee avamiwa na majambazi, atangaza donge nono kwa ataeiona gari hii.

0 comments

mike tee
Msanii Mike Tee anaumaliza mwaka vibaya baada ya leo kuvamiwa na watu wenye silaha na kumpora mali zake zenye thamani kibao, Mike Tee ameandika kwenye account yake ya Facebook maneno yafuatayo:
“Leo hii asubuhi majira ya saa 05:30 nikiwa naelekea ofisini , nimevamiwa na watu watano wenye mapanga wakiwa na gari aina RAV4 ya silver no. T280AZQ wamechukua laptop yangu MacPro, External HDD 4, Headphones za Sony na Modem .
Nnachoshukuru nimepona ila nnachoomba atakayeiona gari hii popote atutaarifu kwa number +255754310202 / na ntampatia cash 300,000 then ntadeal nao mwenyewe”

Read More »

VITA NZITO: ALI KIBA VS DIAMOND, CLOUDS VS TIMES

0 comments

Stori: Erick Evarist, Musa Mateja na Chande Abdallah
MTIFUANO! Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 limepita lakini nyuma yake limeacha vita nzito iliyowahusisha mafahari wawili, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba huku waandaaji wa tamasha hilo, Clouds FM wakisigana na Times FM kumgombea msanii wa Nigeria, David Adedeji Adeleke ‘Davido’, Risasi Mchanganyiko linakupa mchongo kamili.
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akipafomu.
TIFU LILIVYOKUWA
Kwenye shoo hiyo iliyofanyika wikiendi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar, mashabiki wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Ali Kiba (Team Kiba), walipiga kelele za ‘buuu’ pale alipopanda Diamond kutumbuiza ili kumharibia.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
CHANZO CHANENA
Chanzo makini kimedai kuwa, vurugu hizo hazikutokea kwa bahati mbaya bali zilipangwa na wafuasi wa Kiba ambapo inasemekana ziliandaliwa gari aina ya Toyota-Costa zipatazo 25 zilizokuwa zimejaa watu na kwenda kuwamwaga viwanjani hapo kwa shughuli mbili muhimu; kuzomea na kuhamasisha wengine wazomee pindi Diamond atakapopanda jukwaani.
Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akifanya shoo na Davido wa Nigeria.
“Ishu ilipangwa, Team Kiba waliibuka na Costa kama 25 hivi, wakajipanga katika maeneo tofauti ya uwanja huo lakini zaidi walikaa karibu na jukwaa ili kuweza kutimiza vizuri azma yao ya kuharibu pindi Diamond atakapokuwa akitumbuiza,” kilidai chanzo hicho.
WALIFANIKIWA?
Kwa namna moja mashabiki hao walionekana kufanikiwa kwani waliweza kuwashawishi watu wengi wazomee kiasi cha kumfanya Diamond ashtukie  na kuamua kutamka hadharani: “Jamani kuna uhuni unaendelea hapa.”
Mkurugenzi wa Times FM, Rehure Nyaulawa.
TEAM DIAMOND WACHARUKA
Madai yanasema mara baada ya Team Kiba kufanya vurugu hizo na kufanikiwa, baadhi ya mashabiki ambao waliaminika ni wa Diamond (Team Diamond), walicharuka na kusema hawakubaliani na uhuni huo ambao umefanywa hivyo watahakikisha wanapambana kulipiza kisasi kwa namna yoyote ile.
“Hatukubali, wao si walijipanga hapa kumharibia Diamond, sasa na sisi tutahakikisha tunalipiza kisasi kwa namna yoyote,” walisikika wakisema mashabiki wa Diamond.
TALE AKIRI KUSIKIA
Paparazi wetu aliwatafuta Diamond na Kiba ili kujua wanazungumziaje vurugu hizo. Baada ya kumtafuta Diamond bila mafanikio, alipatikana meneja wake, Hamis Taletale ‘Bab Tale’ ambaye alikiri kuwepo kwa maandalizi ya zomeazomea ambayo yalikuwa na lengo ya kumharibia msanii wake.
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mtahaba.
“Hizi kwetu tumezichukulia kama changamoto, tulisikia kwamba kuna watu wamelipwa kwa ajili ya kufanya fujo lakini hatukujali sana kwani lengo letu si kugombana na mtu, sisi tunafanya muziki mzuri ambao ndoto zetu ni kuufikisha katika levo za Kimataifa,” alisema Bab Tale.
KIBA ANAHUSIKA?
Alipotafutwa Kiba kuzungumzia suala hilo alikataa kuhusika nalo na kudai halina ukweli wowote kwani si rahisi kuwalipa pesa mashabiki wengi kiasi kile waliojitokeza uwanjani.
“Hiyo si kweli ni uzushi tu, sasa mimi nitawalipa nini hao mashabiki wote waweze kumzomea huyo Diamond? Siyo rahisi. Kwanza mimi nifanye hivyo ili iweje? Mimi si mtu wa kushindana na Diamond hata siku moja, nafanya muziki wangu, mashabiki wanauelewa, nashukuru Mungu kwa hilo,” alisema Kiba.
CLOUDS FM VS TIMES FM
Kwa upande mwingine, vita nzito ilizidi kutokota kupitia tamasha hilo baada ya msanii Davido kupanda jukwaani na kutumbuiza ilhali akiwa amewekewa pingamizi la kibali kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) sambamba na zuio la Mahakama ya Kisutu lililowekwa na Redio Times FM waliodai kuwa na mkataba wa kufanya shoo na msanii huyo Novemba, mwaka huu Bongo.
TIMES WANASEMAJE?
Mkurugenzi wa Redio Times FM, Rehure Nyaulawa alipotafutwa kwa simu kuhusiana na suala hilo alisema mahakama ilishaweka pingamizi, anashangaa kuona msanii huyo alipanda jukwaani lakini akasema hawezi kukaa kimya, atakwenda mbele zaidi ili haki itendeke.
CLOUDS JE?
Kwa upande wao, Clouds walipotafutwa hawakupatikana hewani lakini kimsingi na wao wana hoja zao ambazo zitabainika pindi kesi hiyo itakapoanza kusikilizwa.
Hata hivyo, kuna madai kwamba, zuio la Davido kutopanda jukwaani Leaders Club lilipelekwa na mahakama kwa Clouds Media Group wakati Tamasha la Fiesta linaandaliwa na Kampuni ya Primetime Promotion, kwa hiyo barua hiyo ilikuwa ‘missing in action’.

Read More »

PEPO MCHAFU AZIDI KUWAANDAMA WANAFUNZI DODOMA MWINGINE APIGA PICHA ZA UCHI MAKUSUDI NA KUZIRUSHA KWENYE MTANDAO ILI KUWATEGA WANAUME MAKUSUDI!

0 comments

Pepo mbaya amezidi kuwatesa wanafunzi wa vyuo nchini kwa kujipiga picha za aibu tena kwa makusudi kisha kuzirusha kwenye mitandao kwa ajili ya kutafuta mabuzi ya kuyachuna.Picha nyingine zinadaiwa ni za mwanafunzi wa chuo kimoja mkoani Dodoma ambapo Blog  hii bado inazama ndani zaidi ili kujuwa anasoma chuo gani na jina lake halisi ni nani kwa vile kwenye mitandao msichana huyo alijitambulisha kwa jina la  Flora.Viongozi wa dini wametakiwa kuwaombea wanafunzi na wasichana wote wanafanya matukio kama hayo ya kujidhalilisha kwani huyo ni pepo mbaya ambae ni lazima akimewe ili asiendelee kuwaandama wanafunzi hao ambao taifa linawaandaa kuwa viongozi wa kesho.
TAARIFA:Blog hii inaendelea kuungana na taasisi na asasi za kidini kulani tabia chafu kama hizi za wanafunzi kujipiga picha chafu kisha kuzisambaza kwenye mitandao. Kwa pamoja tunasema hilo halikubariki kamwe tunawaomba walimu, wazazi na wale wote wanaohusika na kulea tuungane kukemea tabia kama hizi.
Wanaoruhusiwa kuangalia blog hii ni wale waliojuu ya miaka 18
PICHA CHAFU ZAID BOFYA HAPA CHIN

Read More »

MADEMU WA TZ BANA ETI NIMEDATE NAE WIKI MOJA TU, SASA ANANIULIZA ETI NINA MPANGO GANI NA YEYE

0 comments
Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true story
   
Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,tangia nimemjua kwa ukaribu its about mwezi na nusu ,jana ameanza kubadilika tofauti na alivyokua mwanzo,baada ya kumuulizia (just inquisitive) sana amekuja na swali Nina mpango gani na yeye?
Kiukweli hii issue imeniacha mdomo wazi imenistua honestly two weeks?hata sijamjua kiundani,nikafanya categorisation zangu ananiuliza nina mpango naye gani?

Kwa utafiti nilioufanya haraka haraka nimeshtukia kuwa rafiki zake wengi wameolewa na mara kadhaa ndani ya mwezi mmoja na nusu niliojuana naye amewahi kuniaga anaenda send off,na wedding party kadhaa
Swali sasa kwa wanaukumbi walioa au ma single pia, hivi ndani ya week mbili tatu unaweza kuweka promise ya ku engage au oa?Au ndo dunia ya digitali

Hapa nazungumza baada ya kubanwa sana nina mpango gani niliahidi RING ENGAGEMENT ambayo tarehe wala mwezi sijaweka clear kwa sababu machale yamenicheza huyu mtu anaji pretend na anatafuta pa ku fulfill marriage ambition yake(hii ndo tafsiri yangu) so far mambo kama haya ndo yanatunga mimba na kuzaa mauti ndani ya ndoa baadae na moyo wangu hauko radhi kabisa Naomba kuwasilisha,mnipe mawazo ,experience ,knowledges zenu nanyi wana board huenda nami pia nimekosea...
Tiririka


Read More »